Mkurugenzi wa Soul and Mind Mwl. Adelina Ikonje akita na mwenye mahitaji maalum

Mkurugenzi wa Soul and Mind Mwl. Adelina Ikonje ametembelea USA river kutoa semina kwa vijana wenye mahitaji maalum licha ya changamoto walizonazo wanatakiwa kujikubali na kutokata tamaaaa ili waweze kuzifikia ndoto zao.