Watumishi mbali mbali wa selikali halmashauri ya Gairo wakipewa mafunzo juu ya malezi bora, hasa Ulinzi na Usalama wa Mtoto na ujasiliamali mdogo mdogo ili kuongeza vipato. Mafunzo hayo yametolewa na Mkurugenzi wa Soul and Mind Bi Adelina Ikonje, wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Elimu iliyofanyika februery, 2023 wilayani Gairo, mkoani Mororgoro.
